amAnye Investment tunapokea tenda kubwa na ndogo za kutengeneza Grill za madirisha na milango ya design zote. Timu yetu ina mafundi wabunifu, uwezo mkubwa na utaalamu wa hali ya juu. Karibu tukuhudumie.
Tunapatikana barabara ya Old Shinyanga, karibu na Meru Petrol Station mkabala na Tank la SHUWASA.
Project information
- Category Welding
- Location Shinyanga Region
- Experience Since 2018
- Availability Tunafika Shinyanga, Kahama, Tinde, Kishapu, Maganzo etc.
- Contact Bonyeza hapa kuwasiliana nasi